Tirol (Austria)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Tirol (jimbo))
Tirol (kwa Kijerumani pia: Tirol) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 757.634 kwenye eneo la km² 12.648.
Waziri mkuu ni Günther Platter (ÖVP).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo la Tirol limepakana na nchi za Italia na Ujerumani na majimbo ya Vorarlberg, Kärnten na Salzburg.
Innsbruck ndio jiji kubwa tu lenye idadi ya wakazi zaidi ya 119,000.
Lech ndio mto muhimu wa Tirol.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mto wa Lech
-
Bendera ya Tirol
Tovuti za Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tirol (Austria) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |